Home
DMCA
Privacy
Contact

Hot Videos

NYEGERE: Mnyama mwenye wivu wa Mapenzi Zaidi ya Binadamu

Play VideoStatistics

Title :  NYEGERE: Mnyama mwenye wivu wa Mapenzi Zaidi ya Binadamu
Duration :   4.31
Upload by :  KIBAJAJI TV
Published :   27 Jan 2019
Viewer :   6.144
Like :   47
Dislike :   5

LINK DOWNLOADDescription


NYEGERE

Uainishaji wa kisayansiHimaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda:Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia:Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Nyegere, melesi au mhilu (Mellivora capensis) ni mnyama mdogo wa familia Mustelidae anayetokea Afrika, Mashariki ya Kati na Uhindi.

Nyegere huishi peke yao kwenye shimo analolichimba yeye mwenyewe. Ni wachimbaji wazuri sana. Vile vidole vyao vyenye kucha ndefu na ngumu humsaidia sana kwenye kazi hii. Hata kama ardhi ni ngumu sana, ana uwezo wa kuchimba shimo linalomtosha kujificha katika kipindi kinachokadiriwa kuwa ni dakika kumi tu.

NYEGERE (Honey burger) a.k.a "The fearless animal" TABIA NA MAMBO YAKE MENGINE Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari,maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, walina asali ndio waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga akala kidogo asali na kupeleka kwa mke,mlina asali akifika na kupakua, nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake (ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijini wameuwawa kwa namna hii. Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo halafu akarudi porini kimya kimya Ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, kenge, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k...kwa kifupi anakula kila kitu na ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu kupenya..ukitaka kumuua ni kumpiga katika fuvu la kichwa chake na kitu kizito au risasi kichwani,katika guines world book of records yeye ndio the most fearless creature on the planet mwili wake haudhuriki na sumu ya nyoka wa kawaida na ikitokea ameumwa na nyoka mwenye sumu kali na sumu ikapenya kwenye damu yake itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu kisha ataendelea na mambo yake. Ana meno makali/magumu sana yenye uwezo wa kupasua hata jumba la kobe. .Ashawahi kukutwa akipigana na simba na hata tembo na vifaru katika nyakati tofauti. Ni mvivu katika maswala ya nyumba yake hivyo basi anapojisikia uvivu hujilaza sehemu yoyote inayomfaa..ishaonekana akiwa kajiliza katika pango la mbwa mwitu kama kwake. Wanapatikana India,Kusini magharibi barani Asia na Afrika.
#nyegere
#honeybarger
#fearlessanimal
#mapenzi

Related Videos

Mnyama anayependa ngono zaidi duniani | ZAIDI (S02E08) Mnyama anayependa ngono zaidi duniani | ZAIDI (S02E08)
by : Dar24 Media
Download | View
Huyu ni Nyegere au honey badger ndo mnyama anaekula nyoka,simba na mizoga ya binadamu Huyu ni Nyegere au honey badger ndo mnyama anaekula nyoka,simba na mizoga ya binadamu
by : Davistar Mata
Download | View
bagaimana jika singa di keroyok bagaimana jika singa di keroyok
by : YU-LA YURA LALA
Download | View
Too Brave! Powerful Hero Buffalo Come To Rescue Poor Zebra Escape Lions Too Brave! Powerful Hero Buffalo Come To Rescue Poor Zebra Escape Lions
by : Kruger Wild Animals
Download | View
Amazing Snake Python King Cobra Big Battle In The Desert Mongoose | Amazing Attack of Animals Amazing Snake Python King Cobra Big Battle In The Desert Mongoose | Amazing Attack of Animals
by : BSK Fun Kids TV
Download | View
Incredible HONEY BADGER Defence and Attack Mechanism Including Lion, Hyena,Python, Jackal, Porcupine Incredible HONEY BADGER Defence and Attack Mechanism Including Lion, Hyena,Python, Jackal, Porcupine
by : Stonehenge
Download | View
TOP 4 SERANGAN BRUTAL KOMODO (KADAL RAKSASA) SEKALI GIGIT AUTO K'O || ZEN ADITYA TOP 4 SERANGAN BRUTAL KOMODO (KADAL RAKSASA) SEKALI GIGIT AUTO K'O || ZEN ADITYA
by : ZEN ADITYA
Download | View
KING COBRA VS PYTHON BERAKHIR MENGEN4SKAN... KING COBRA VS PYTHON BERAKHIR MENGEN4SKAN...
by : PANJI PETUALANG
Download | View
사자 vs 악어 엄청난전투! Lion vs Crocodile! 사자 vs 악어 엄청난전투! Lion vs Crocodile!
by : Super Animals
Download | View
Epic Battle Of Big Cat Vs Giant Anaconda, Big Cat Can't Escape of Giant Anaconda Epic Battle Of Big Cat Vs Giant Anaconda, Big Cat Can't Escape of Giant Anaconda
by : JAMES PIYAWAT
Download | View
SCARY Hippo Attack Lion! SCARY Hippo Attack Lion!
by : SURVIVAL GAMES!!
Download | View
Penangkapan Ular Raksasa_Pemangsa Manusia Di Indonesia Ditangkap Warga Satu Kampung Penangkapan Ular Raksasa_Pemangsa Manusia Di Indonesia Ditangkap Warga Satu Kampung
by : GLOBAL TEKNO Fishing
Download | View

Last Search

Hot Videos